Friday, February 21, 2014
Sunday, February 9, 2014
Thursday, November 14, 2013
COMPUTER COURSE
Utangulizi
Hatimaye
kilio cha wadau wa Hekima kuletewa mafunzo
ya Computer kimesikika sasa. Tumekuja
tukiwa kamili na watalaam waliobobea katika kufundisha Computer.
Kozi
hii ni kwa ajili ya Waliomaliza darasa la saba, Form Two, Form Four, Form Six
na Chuo pamoja na Wafanyakazi walio kazini
Jinsi ya kujiunga
- Jaza Form kwa Tshs. 5,000/=
- Ada hulipiwa kwa kila Programme utakayoisoma.
- Unatakiwa kulipia Tshs. 2,000/= kwa ajili ya kitini (Pumphlet) ya programme hiyo.
- Kitini utapata kwa Mwalimu
COMPUTER APPLICATION PROGRAM
- Intro to Computer
- Ms-Word 2003:2007
- Ms-Excel 2003:2007
- Ms-Acess 2003:2007
- Ms-Power point
- Ms-Publisher
OTHER PROGRAMS
- Adobe page maker
- Coral draw
- Mara 3 D 6
- Photoshop----------- Tshs 35,000 kwa wiki mbili (Two weeks)
- Sierra Print Artist-------Tshs 20,000 kwa wiki mbili (Two weeks)
NB: Kwa mwezi mmoja ni Tshs 100,000
Muda wa Masomo: Saa 3 asubuhi - Saa 2 usiku
Vipindi ni masaa mawili kwa siku.
TANGAZO LA MUHULA MPYA 2013/2014
HEKIMA UPLAND ACADEMIC CENTRE
Ni kituo chenye magwiji na watalaamu waliobobea katika tasinia ya elimu kwa kada mbalimbali za sekondari na wenye uzoefu wa zaidi ya miaka kumi.
Kwa kipindi hiki tumeaminiwa na kusaidia wengi katika ngazi ya QT, O’Level (III – IV) au PCS na kidato cha Sita (Advanced Level) kutokana na matokeo mazuri hadi kupelekea wanafunzi wetu wengi kufika ngazi ya vyuo yaani “Certificate” Diploma na wengi zaidi ngazi ya Chuo Kikuu (Degree).
Kwa mara nyingine tena HEKIMA UPLAND TRAINING CENTRE inawatangazia wadau wake wote kuwa muhula mpya wa masomo (New Intake) 2013/2014 utaanza rasmi tarehe 18/11/2013 kwa PC’s & QT na A’ Level ni tarehe 28/11/2013.
Tunao walimu wa kutosha wenye sifa stahiki ambao wamedhamiria kuwapa wanafunzi kile walichofuata HEKIMA.Tuna utaratibu wa kila wiki kuwafanya wanafunzi wajipime na muda wote kuwa “busy” na shule.
Pia tunatoa course za computer kwa wahitaji kwa ngazi mbalimbali. Bei zetu ni nafuu sana ukilinganisha taaluma itolewayo Hekima na idadi ya masomo yaliyopo.
Tupo Buguruni (Hekima Primary School) pia matawi yetu Buguruni Madenge Mtaa wa Chile.
Subscribe to:
Posts (Atom)



