Thursday, November 14, 2013

COMPUTER COURSE



Utangulizi
Hatimaye kilio cha wadau wa Hekima kuletewa   mafunzo ya Computer kimesikika sasa.  Tumekuja tukiwa kamili na watalaam waliobobea katika kufundisha Computer.
Kozi hii ni kwa ajili ya Waliomaliza darasa la saba, Form Two, Form Four, Form Six na Chuo pamoja na Wafanyakazi walio kazini
Jinsi ya kujiunga
  1.  Jaza Form kwa Tshs. 5,000/= 
  2. Ada hulipiwa kwa kila Programme utakayoisoma. 
  3.   Unatakiwa kulipia Tshs. 2,000/= kwa ajili ya kitini (Pumphlet) ya programme hiyo. 
  4.  Kitini utapata kwa Mwalimu
COMPUTER APPLICATION PROGRAM
  •      Intro to Computer
  •      Ms-Word 2003:2007
  •     Ms-Excel 2003:2007
  •     Ms-Acess 2003:2007
*    @Tshs 20,000 kwa wiki mbili (Two weeks)
  •      Ms-Power point
  •      Ms-Publisher
**    @Tshs 25,000 kwa wiki mbili (Two weeks)
       OTHER PROGRAMS
  •       Adobe page maker
  •      Coral draw
  •      Mara 3 D 6
*    @Tshs 30,000 kwa wiki mbili (Two weeks)
  •       Photoshop----------- Tshs 35,000 kwa wiki mbili (Two weeks)
  •       Sierra Print Artist-------Tshs 20,000 kwa wiki mbili (Two weeks)
     NB: Kwa mwezi mmoja ni Tshs 100,000
     Muda wa Masomo: Saa 3 asubuhi - Saa 2 usiku
     Vipindi ni masaa mawili kwa siku.

No comments:

Post a Comment