HEKIMA UPLAND ACADEMIC CENTRE
Ni kituo chenye magwiji na watalaamu waliobobea katika tasinia ya elimu kwa kada mbalimbali za sekondari na wenye uzoefu wa zaidi ya miaka kumi.
Kwa kipindi hiki tumeaminiwa na kusaidia wengi katika ngazi ya QT, O’Level (III – IV) au PCS na kidato cha Sita (Advanced Level) kutokana na matokeo mazuri hadi kupelekea wanafunzi wetu wengi kufika ngazi ya vyuo yaani “Certificate” Diploma na wengi zaidi ngazi ya Chuo Kikuu (Degree).
Kwa mara nyingine tena HEKIMA UPLAND TRAINING CENTRE inawatangazia wadau wake wote kuwa muhula mpya wa masomo (New Intake) 2013/2014 utaanza rasmi tarehe 18/11/2013 kwa PC’s & QT na A’ Level ni tarehe 28/11/2013.
Tunao walimu wa kutosha wenye sifa stahiki ambao wamedhamiria kuwapa wanafunzi kile walichofuata HEKIMA.Tuna utaratibu wa kila wiki kuwafanya wanafunzi wajipime na muda wote kuwa “busy” na shule.
Pia tunatoa course za computer kwa wahitaji kwa ngazi mbalimbali. Bei zetu ni nafuu sana ukilinganisha taaluma itolewayo Hekima na idadi ya masomo yaliyopo.
Tupo Buguruni (Hekima Primary School) pia matawi yetu Buguruni Madenge Mtaa wa Chile.
No comments:
Post a Comment